USIUZE KADI YAKO

USIUZE KADI YAKO

Focusradiotz

Jumatano, 15 Aprili 2015

MASHINE ZA BVR AWAMU YA PILI KUPELEKWA MIKOA SABA Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, Katavi, Mbeya na Dodoma.

Mkuu wa kitengo cha Ufundi wa idara ya Daftrari/ICT wa NEC Dr Sisit Cariah Akizungumza na mwandishi wetu amesema kwamba mpaka sasa wanachi wa mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvumna na Iringa wakae tayari kwani muda wowote watatangaziwa vituo vya kujiandikisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni