Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga . |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Maruanga wakimshangilia Nassari ,(hayuko pichani) |
Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Na Dixon Busagaga - Kanda ya Kaskazini. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni