USIUZE KADI YAKO

USIUZE KADI YAKO

Focusradiotz

Jumapili, 16 Agosti 2015

KUAHIRISHWA UWEKAJI WAZI DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM

Sasa Daftari la kudumu la wapiga kura litawekwa wazi mkaoni Dar es Salaam kwa ajili ka kukaguliwa kuanzia tarehe  
18.08.2015 hadi tarehe 22.08.2015
Pia waweza kupiga namba
 *152*00# 
kisha fuata maelekezo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni