MAADILI YA UCHAGUZI KWA
AJILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2015
(chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (sura ya 343)
AJILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2015
(chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (sura ya 343)
2.0 Maadili kwa Vyama vya Siasa na Wagombea katika
kuendesha shughuli za Siasa wakati wa Kampeni.
2.1 Wajibu wa Vyama vya Siasa na Wagombea.
2.1 Wajibu wa Vyama vya Siasa na Wagombea.
-
(c) Vyama vya Siasa vifanye mikutano ya Kampeni kwa
kuzingatia ratiba rasmi iliyoratibiwa na Tume ya Taifa
ya Uchaguzi au Wasimamizi wa Uchaguzi katika
kutangaza sera zao. Aidha, mikutano yote itafanyika
kati ya saa 2:00 asubuhi na saa 12:00 jioni. Bila
kuathiri muda ulioelezwa hapo juu, Vyama vya
Siasa vinaweza kutumia vipaza sauti kuanzia
saa1:00 asubuhi hadi saa 2:00 usiku kutoa
matangazo ya mikutano itakayofuata.
-
(k) Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wagombea au Wafuasi
wao wahakikishe kuwa majengo wanayotumia kufanya
kampeni sio ya ibada au sehemu zinazotumiwa kwa ajili
ya ibada. Vile vile, Vyama vya Siasa vihakikishe kuwa
havitumii Viongozi wa dini kupiga kampeni kwa ajili ya
Vyama vya Siasa au Wagombea wao.
-
(f) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea wao
hawaruhusiwi kuchafua, kubandua au kuharibu
matangazo ya kampeni ya Vyama vingine vya Siasa na
matangazo ya Uchaguzi yanayotolewa na Tume ya
Taifa ya Uchaguzi.
Msikilize hapa... https://www.youtube.com/watch?v=CfwERl92K8A&feature=youtu.be
-
(f) Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wagombea wao
hawaruhusiwi kuchafua, kubandua au kuharibu
matangazo ya kampeni ya Vyama vingine vya Siasa na
matangazo ya Uchaguzi yanayotolewa na Tume ya
Taifa ya Uchaguzi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni