1.
Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa
ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55
na imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo
vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za
Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya
Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea.
Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume
ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na
wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna
rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa
kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika
hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea
wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali 1)
2.
Rufaa za Madiwani
Tume ya Taifa
ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Madiwani 200
na imeshatolea maamuzi rufaa 82 bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa.
Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa
kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume
ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye
orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 64 Tume
ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama
yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. (Jedwali 2)
Jedwali 1 (Tarehe 31/08/2015)
Na.
|
Jimbo
|
Aliyekata Rufani
|
Aliyekatiwa Rufani
|
Uamuzi wa Tume
|
1
|
Rungwe
|
Frank George Maghoba
ACT Wazalendo
|
Saul Henry Amon
CCM
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
2
|
Kinondoni
|
Karama Masoud Suleiman,
ACT Wazalendo
|
Azzan Iddi Mohamed
CCM
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la
Kinondoni.
|
|
|
|
|
|
3
|
Peramiho
|
Mwingira Erasmo Nathan
CHADEMA
|
Jenista Joakim Mhagama
CCM
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la
Peramiho.
|
|
|
|
|
|
4
|
Lindi Mjini
|
Barwany Salum Khalfan
(CUF)
|
Kaunje Hassani Selemani
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
5
|
MLALO
|
GOGOLA
SHECHONGE GOGOLA (CUF)
|
RASHID
ABDALLAH SHANGAZI (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo.
|
|
|
|
|
|
6.
|
MAFIA
|
KIMBAU OMARY AYOUB (CUF)
|
DAU MBARAKA KITWANA (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
7.
|
MJI WA HANDENI
|
DAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA)
|
KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa
Handeni.
|
|
|
|
|
|
8.
|
NJOMBE KUSINI
|
EMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA)
|
EDWARD FRANS MWALONGO (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
9
|
NJOMBE KUSINI
|
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEAMA)
|
WILLIAM EDWARD MYEGETA
(DP)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
10.
|
NJOMBE KUSINI
|
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEMA)
|
EMILIAN JOHN MSIGWA
(ACT -wazalendo)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
11.
|
KINONDONI
|
KALUTA, AMIRI ABEDI
(CHAUMMA)
|
AZZAN IDD MOHAMED
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
12.
|
MICHEWENI
|
KHAMIS JUMA OMARI (CCM)
|
HAJI KHATIB KAI (CUF)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
13.
|
CHALINZE
|
SHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo)
|
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la
Chalinze.
|
|
|
|
|
|
14.
|
CHALINZE
|
TORONGEY MANGUNDA MATHOYO
(CHADEMA0
|
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA
(CCM)
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la
Chalinze.
|
|
|
|
|
|
15.
|
KASULU MJINI
|
MACHALI MOSES JOSEPH
(ACT – Wazalendo)
|
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
16.
|
MWANGA
|
KILEWO HENRY JOHN (CHADEMA)
|
PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
17.
|
Tarime Mjini
|
Esther Nicholas Matiko
(CHADEMA )
|
Deogratius Meck Mbagi
(ACT – Wazalendo)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
18.
|
Ulanga
|
Celina Ompeshi Kombani (CCM)
|
Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
19.
|
Nzega
Mjini
|
Mezza
Leonard John (CUF)
|
Bashe,
Mohammed Hussein (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
20
|
Nkenge
|
Bagachwa Salim Abubakar (CUF)
|
Kamala Diodorus Buberwa (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
21.
|
Ulanga
|
Celina Ompeshi Kombani (CCM)
|
Isaya Isaya Maputa (ACT –
Wazalendo)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
22.
|
Bukene
|
Elias
Michael Machibya (CCM)
|
Simbi
Alex Mpugi (CUF)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
23.
|
Ileje
|
Janeth
Zebedayo Mbene (CCM)
|
Emmanuel
Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
24
|
Ileje
|
Emmanuel
Amanyisye Mbuba
(NCCR
– Mageuzi)
|
Janeth
Zebedayo Mbene (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
25
|
Kigoma
Kusini
|
Bidyanguze
Nashon William (ADA – TADEA)
|
Msimamizi
wa Uchaguzi (RO)
|
Tume imekubali Rufaa
ya mrufani kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52.
Hivyo, Tume imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa
Jimbo la Kigoma Kusini .
|
|
|
|
|
|
26
|
BUMBULI
|
DAVID JOHN CHAMYEGH
(CHADEMA)
|
JANUARY YUSUF MAKAMBA ( CCM)
|
Tume
imekubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea
wa Jimbo la Bumbuli aendelee na Kampeni.
|
|
|
|
|
|
27
|
DODOMA MJINI
|
KIGAILA
BENSON SINGO (CHADEMA)
|
MAVUNDE
PETER ANTONY (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
28
|
LUDEWA
|
MSAMBICHAKO
BARTHOLOMEO A. MKINGA ( CHADEMA)
|
FILIKUNJOMBE
DEO HAULE (CCM)
|
Tume imekubali Rufaa
na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika
orodha ya Wagombea wa Jimbo la Ludewa. Aendelee na Kampeni.
|
|
|
|
|
|
29
|
KINONDONI
|
MTULIA MAULID SAID ABDALLAH CUF
|
AZZAN IDD MOHAMED CCM
|
Tume
imeikubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa
Jimbo la Kinondoni aendelee na Kampeni.
|
|
|
|
|
|
30
|
MTAMA
|
SELEMANI
SAIDI MTULUMA
UPDP
|
MCHINJITA
RASHID ISIHAKA
CUF
|
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa
Uchaguzi hivyo Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria.
|
|
|
|
|
|
31
|
UKONGA
|
JERRY
WILLIAM SILAA (CCM)
|
WAITARA
MWIKABE (CHADEMA)
|
Tume imeikataa imekubaliana na
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuwa Waitara
Mwikwabe ni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni.
|
|
|
|
|
|
32
|
SENGEREMA
|
FRANCISCO K. SHEJUMABU
(UDP)
|
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao
ni mgombea halali.
|
|
|
|
|
|
33
|
SENGEREMA
|
TUMAINI
MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi)
|
HAMIS
MWAGAO TABASAM (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao
ni mgombea halali.
|
|
|
|
|
|
34
|
MOSHI MJINI
|
KIRETI KAMASHO ISSAC (SAU)
|
JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa
mrufaniwa siyo raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi hivyo, Japhary Raphael
Michael ni mgombea halali.
|
|
|
|
|
|
35
|
MADABA
|
BUSARA LOSTOON KAISARI (ACT – Wazalendo)
|
Msimamizi wa Uchaguzi
|
Tume imekubali Rufaa
na kumrejesha BUSARA LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha
ya Wagombea wa Jimbo la Madaba.
|
|
|
|
|
|
36
|
TANGA MJINI
|
NUNDU OMARI RASHID (CCM)
|
KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT – Wazalendo)
|
Tume imekubaliana na, uamuzi
wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na
kampeni
|
|
|
|
|
|
37
|
TANGA MJINI
|
NUNDI OMARI RASHID (CCM)
|
MUSSA BAKARI MBAROUK (CUF)
|
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na kampeni.
|
Tarehe 02/09/2015
|
||||
38
|
ARUMERU MASHARIKI
|
NASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA)
|
PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM)
|
Tume
imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa
imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni..
|
|
|
|
|
|
39
|
SHINYANGA MJINI
|
STEVEN JULIUS MASELE (CCM)
|
PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA)
|
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na kampeni.
|
40
|
MTAMBWE
|
KHAMIS SEIF ALLI (CCM)
|
ALI SALIM OMARI (AFP)
|
Rufaa hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji
fomu za rufaa haukufuatwa.
|
|
|
|
|
|
41
|
MGOGONI
|
ISSA JUMA HAMAD(CCM)
|
SULEIMAN ALI YUSUF
|
Rufaa hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za
rufaa haukufuatwa.
|
|
|
|
|
|
Jedwali 2 Tarehe 01/07/2015
Na.
|
Jimbo
|
Aliyekata Rufani
|
Aliyekatiwa Rufani
|
Uamuzi wa Tume
|
1.
|
CHIKUNJA/NDANDA
|
KASTOR JOSEPH MMUNI
(CHADEMA)
|
MPONDA FILEMON NOAMECK DISMAS (NLD)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
2
|
KIMAMBA ‘A’/KILOSA
|
SILAS RAMADHANI KASSO (CUF)
|
AIRU MUSTAPHA KAISI (ACT-WAZALENDO)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi
|
3
|
NYAMISANGURA/TARIME MJINI
|
BASHIRI ABDALLAH SELEMANI (CHADEMA)
|
NCHANGWA SAMWELI MAGOIGA
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na
kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya
Nyamisungura
|
4
|
OLMOLOG/LONGIDO
|
MATHIAS ORKIREYE MOLLEL
(CCM)
|
DIYOO LOMAYANI SYOKINO LAIZA
(CHADEMA)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
5
|
MWISENGE/MUSOMA
|
LADISLAUS MANYAMA MAGESA
(CCM)
|
BWIRE NYAMERO BWIRE (CHADEMA)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi
|
6
|
BOMANI/TARIME MJINI
|
MECCO KAZIMOTO KABILA
(CHADEMA)
|
MASUBO GODFREY MICHAEL
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na
kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI.
|
7.
|
ISYESYE/JIJI LA MBEYA
|
MDEMU MELAS PAUL (CCM)
|
IBRAHIM JOHN MWAMPWANI
(CHADEMA)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi.
|
8
|
MBARIKA/MISUNGWI
|
IZENGO TUMAINI PETER
(CHADEMA)
|
ZUBERI MANZA NGUKULA (ACT-WAZALENDO
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi
|
9
|
KILAGANO/WILAYA YA SONGEA
|
BATHLOMEO SIXMUNDI MKWERA
(CHADEMA)
|
EMANUEL EMILIAN NGONYANI
(CCM)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi
|
10
|
ISAMILO/Jiji la Mwanza
|
TIBA DEUS TIBA
(TADEA)
|
YAHAYA IDDI NYALENGA
(ACT-WAZALENDO)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi
|
11
|
BENDERA/SAME
|
MICHAEL RICHARD MCHARO
(CHADEMA)
|
CHRISTOPHER MAIKO MZIRAI
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na
kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera.
|
12
|
MBWEWE
|
MAHAMBA BAKARI RAMADHANI
(CCM)
|
MOHAMEDI JUMA RAJABU
(CUF)
|
Tume imetengua
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye
orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
|
13
|
MABIBO
|
JOSEPH WILLIAM KESSY
(CCM)
|
DASTAN ATHANASIO ERNEST
(CUF)
|
Tume imetengua uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea
wa Kata ya Mabibo. Wagombea waendelee na kampeni.
|
14
|
WANGING’OMBE
|
HINGI ROSINA GABRIEL
(CHADEMA)
|
NYAGAWA GEOFREY KILUNDO
(CCM)
|
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za
uchaguzi
|
|
|
|
|
|
15
|
TALAWANDA/CHALINZE
|
SHABANI MAULIDI SEMINDU
(SAU)
|
ZIKATIMU SAIDI OMARI
(CCM)
|
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na
kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda.
|
|
|
|
|
|
16
|
KIWANGWA/CHALINZE
|
OMARI RASHIDI DAVID
(CHADEMA)
|
MALOTA HUSEIN KWAGGA
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
17
|
LUGOBA/CHALINZE
|
UCHECHE IDDI MRISHO
(CHADEMA)
|
MWENE ISSA REHEMA
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa
Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
18
|
ISYEYE/MBEYA JIJI
|
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
|
SANKE ENOCK SESO (APPT-Maendeleo)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
19
|
ISYEYE/MBEYA JIJI
|
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
|
MWASEBA SARAH MWASAMBOMA (NCCR-Mageuzi)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na
wagombea wote wanaendelea na zoezi
|
|
|
|
|
|
20
|
ISYEYE/MBEYA JIJI
|
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
|
FABIAN ERNEST DEO (ACT-WAZALENDO)
|
Tume imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa
Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
21
|
KASHAI/BUKOBA MJINI
|
KABAJU NURULHUDA ADULKADIR (CHADEMA)
|
SAMORA A. LYAKURWA (CCM)
|
Tume imekubali rufaa na
kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Kashai.
Wagombea waendelee na kampeni.
|
|
|
|
|
|
22
|
MBWEWE/CHALINZE
|
MAHAMBA
BAKARI RAMADHANI (CCM)
|
PAPA JUMA
HAMISI (CHADEMA)
|
Tume imetengua
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA
kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
|
|
|
|
|
|
23
|
KIWANGWA/CHALINZE
|
MALOTA HUSSEIN KWAGGA (CCM)
|
OMARI RASHID DAVID (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
24
|
MCHANGANI/TUNDURU KASKAZINI
|
MAWILA MOHAMED YASIN
CUF
|
HAIRU HEMED MUSSA
CCM
|
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na
kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani
Kata ya Mchangani.
|
|
|
|
|
|
25
|
BUGORORA/MISENYI
|
SWALEH AHMADA MLISA
(CHADEMA)
|
PROJESTUS M. RUZIGIJA
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
26
|
SIRARI/TARIME
|
SAGARA AMOS NYABIKWI (CCM)
|
NYANGOKO PAUL THOMAS
(CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
27
|
KIBASUKA/ TARIME
|
ISAYA NYANGOYE TARRIMO (ACT-Wazlendo)
|
LOICE CHACHA MANYATA (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi
|
|
|
|
|
|
28
|
Kibasuka/ Tarime
|
ISAYA NYANGOYE MATIKO (ACT- Wazalendo)
|
KELEMANI NYAKIHA KEHEMGU
(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
29
|
IYELA/ JIJI LA MBEYA
|
EMMANUEL ELIAH LYATINGA (CCM)
|
CHARLES CHANGANI MKELLA (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
30
|
IGANJO
|
WASHAHA JAIVU MIHALI (CCM)
|
DAVID EDWARD MWANGONELA
(CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
31
|
ISYESYE
|
MDEMU MELAS PAUL
CCM
|
MWASEBA SARAHA MWASAMBOMA
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
32
|
MIYUJI/ MANISPAA DODOMA
|
WALLACE DANIEL LUSSINGU
|
DAVID WILLIAM MGONGO
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
33
|
MNADANI
|
EUSTACE RWENYANGILA RUBANDWA
|
FARIDA ISSA MBARUKU
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
34
|
THEMI/ JIJI LA ARUSHA
|
LABORA PETRO NDARPOI
CCM
|
MELANCE EDMOND KINABO
CHADEMA
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
35
|
LUFILYO/ BUSOKELO
|
MWAMAFUPA LUCAS GIDION
CCM
|
RICHARD AFRICA MWANGOMALE
CHADEMA
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
36
|
SOMANDA/ BARIADI
|
HERI MCHUNGA ZEBEDAYO
CHADEMA
|
ROBERT LWEYO MGATA
CCM
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
37
|
ULEMO/ IRAMBA
|
ELIKANA MAKALA SHOMIA
|
SAMWELY F. SHILA
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
38
|
KIEGEANI/ MAFIA
|
SELEMANI DARUSI ALLY
|
HASSAN MOHAMED SWALHU
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
39
|
ISYESYE/ JIJI LA
MBEYA
|
MDEMU MELAS PAUL
|
SANKE ENOCK SESO
|
Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa
haina msingi. Hivyo Tume imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi
|
|
|
|
|
|
40
|
PERA/ CHALINZE
|
MAJIDI MUSSA ISALE
(CHADEMA)
|
LEKOPE
LAINI
LANG’WESI
(CCM)
|
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na
kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera
|
|
|
|
|
|
41
|
MWAYA/ ULANGA
|
LILONGERI FADHILI FURAHA
(CCM)
|
MOHAMEDI KAPELEWELE RASHIDI
(CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
42
|
KIRUSHYA/ NGARA
|
SOSPETER SALAZIEL KAPFHUM
(CHADEMA)
|
SENTORE
MIBULO JACOB
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
43
|
IYELA/ JIJI LA MBEYA
|
EMMANUEL ELIAH LYATINGA
|
KELVIN HENRY MYEMBA
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
44
|
MBEZI
MKURANGA
|
RAMADHANI
MOHAMED MBWELA
CUF
|
RASHID
MOHAMED SERUNGWI
CCM
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
45
|
SHUNGUBWENI/MKURANGA
|
KULWA
SELEMANI MSUMI
CUF
|
KAMBWIRI
OMARI SHAIBU
CCM
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
46
|
CHIFUTUKA/BAHI
|
NOLLO MWINJE
MNZAJILA
CCM
|
RUBENI SALI
LUHENDE
CHADEMA
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
47
|
KITUNTU/KARAGWE
|
MODEST
KATARE KALOKOLA
CHADEMA
|
ZIDINA
TAYEBWA MURUSHID
CCM
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
48
|
VIANZI/MKURANGA
|
NAZIRU JUMA
CHUMU
CUF
|
NASSOR ALLY
CHUMA
CCM
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
49
|
IPALA/DODOMA
MJINI
|
SHUKRANI
AMOSI MHALINGA
NCCR-MAGEUZI
|
GEORGE
STEPHEN NGAWA, VICTORIA, MATAGI MAGABE, AMANI CHIBWANA MADELEMU
CCM na
ACT-WAZALENDO
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
50
|
LUKANDE/WILAYA YA ULANGA
|
MAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM)
|
MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
51
|
MONDO/CHEMBA
|
SAMBALA SAID OMAR (CCM)
|
ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA
(CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
52
|
UPONERA/ULANGA
|
MWENTI MARIA MAGNUSI (CCM)
|
EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
|
|
|
|
53
|
BUSIS/SENGEREMA
|
BUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT
–Wazalendo)
|
DICKSON YONA SAMWEL (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
|
01/09/2015
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Na
|
JIMBO
|
Aliyekata
Rufaa
|
Aliyekatiwa
Rufaa
|
Uamuzi wa Tume
|
54
|
MINZIRO/ MISENYI
|
TWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM)
|
GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA)
|
Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa
Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea. aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi
wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na
Mwenyekiti. Rufaa hina msingi
Serkretatieti inapendekeza ikataliwe.
Wagombea waendelee na kampeni.
|
55.
|
MAWASILIANO/ULANGA
|
SALUM DOTTO MOHAMED
(ACT-WAZALENDO)
|
INNOCENT VICTOR MWACHIPA
(CCM)
|
Tume imekataa
rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
56
|
MADUKANI
|
BAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM)
|
SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
57.
|
VIANZI
|
SEIF RAJABU LUMU (CHADEMA)
|
ANDASON FRANCIS MBANGUKA
(CCM)
|
Tume imekataa
rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
58.
|
MUNDEM/BAHI
|
FELIX THOMAS MBUNA
(CHADEMA)
|
GORDEN M. ENYAGALO (CCM)
|
Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na
kampeni.
|
59.
|
KILOSA MPEPO/ HALMASHAURI
YA MALINYI
|
KIWANGA KILIAN BONAVE
NTURA (CHADEMA)
|
HAMISA YUSUPH KYELULA
(CCM)
|
Tume imekataa
rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
60.
|
LUPILO/WILAYA YA ULANGA
|
MAHUNDU AYUBU HASSAN (CCM)
|
MADUNDA ABDALA MKALIMOTO
(CHADEMA)
|
Tume imekataa
rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
61
|
NYARUYEGE/ BUSANDA
|
CHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA)
|
MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM)
|
Tume
imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha
mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
|
62
|
MKURANGA
|
MWARAMI SHAHA MKETO (CUF)
|
SAID MOHAMED KUBENEA (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
63.
|
CHIROMBOLA
|
FUNDI YAHAYA
CHUMA
|
MGUBA HILGAD
ITATIRO
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
64.
|
MKONGOTEMA/ MADABA
|
OSWARD P. NJIKU
|
VITUS M. MFIKWA
|
Tume
imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha
mgombea kugombea udiwani katika kata
ya Mkongotema.
|
65.
|
CHIKUNJA/ NDANDA
|
KASTOR JOSEPH
MMUNI –(CHADEMA)
|
OMARI MOHAMED
MKOKO-(CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
66.
|
NKINGA/MANONGA
|
SALI ALPHONCE
LWAMBO (ACT-WAZALENDO)
|
ISACK GILBERT
KIBONA- (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
67
|
KILINDI
|
MOHAMEDI S. LUGENDO- CUF
|
MOHAMED BAKARI MKOMWA-
CCM
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
68.
|
NYAMISANGURA/ TARIME MJINI
|
DIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –WAZARENDO)
|
SAMWEL
NCHANGWA MAGOIGA (CCM)
|
Tume
imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha
mgombea Didasi
Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura.
|
69.
|
IGWACHANYA /WANG’INGOMBE
|
MHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA)
|
MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
70.
|
KEMAMBO
|
JOHN MASYAGA MANG”ERANYI
(CHADEMA)
|
BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM)
|
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na
imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani.
|
71
|
MAJENGO/MOSHI DC
|
MINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA)
|
SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi.
|
72
|
MOROGORO JUU
|
EMIRY ALPHONCE
KIDEVU-(CCM)
|
YASSINI KONDO
KUNGWA
(CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
73
|
KYERWA/
RUTUNGURU
|
RICHARD BURCHARD
KABARA –(CHADEMA)
|
FRUGENCE MUZORA
FREDERICK – (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali
uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
74
|
MWEMA/TARIME
|
PETRUES JOSEPH ITAARA (CHADEMA)
|
NTOGORO PETER KURATE (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
75
|
KITAJI/MUSOMA MJINI
|
FRANK DIONIS WABARE (CCM)
|
HAILE SIZZA TARAI (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
75
|
UBENA/CHALINZE
|
MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)
|
MHOKA AUGUSTINO EVARISTO (CHADEMA)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
76
|
UBENA/CHALINZE
|
MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)
|
MGAMA ASHRAF ATHUMANI (ACT-WAZALENDO)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
77
|
BUJULA/WILAYA YA GEITA
|
KANIJO AMINA SWEDI
|
KONGEJA YOHANA MULELE
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
78
|
MBERE/ILEJE
|
CHAGHI ANDREA KALINGA
|
OMARI AMBILIKILE KAMENDU
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
79
|
HUNYARI/BUNDA
|
SUMERA KIHARATA MZUMARI (CCM)
|
MAKIMA HAMAROSI JOSEPHAT (CHADEMA)
|
Tume imekataa
rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
80
|
KEMAMBO/TARIME VIJIJINI
|
JOHN MASYAGA MENG’ENYA (CHADEMA)
|
BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM)
|
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
|
81
|
BOMANI/TARIME
|
MECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA)
|
MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM)
|
Tume imekubali
rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea
agombee Udiwani.
|
82
|
MADABA
|
OSWALD P. NJIKU (CHADEMA)
|
VISTUS M. MFIKWA (CCM)
|
Tume imekubali
rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea
agombee Udiwani.
|
MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI
JibuFuta