USIUZE KADI YAKO

USIUZE KADI YAKO

Focusradiotz

Alhamisi, 3 Septemba 2015

MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI

1.   Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42  bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali 1)

2.   Rufaa za Madiwani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Madiwani 200 na imeshatolea maamuzi rufaa 82  bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 64 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. (Jedwali 2)

Jedwali 1 (Tarehe 31/08/2015)
Na.
Jimbo
Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
1
Rungwe
Frank George Maghoba
ACT Wazalendo
Saul Henry Amon
CCM
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

2
Kinondoni
Karama Masoud Suleiman,
 ACT Wazalendo
Azzan Iddi Mohamed
CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni.

3
Peramiho
Mwingira Erasmo Nathan
CHADEMA
Jenista Joakim Mhagama
CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Peramiho.

4
Lindi Mjini
Barwany Salum Khalfan
(CUF)
Kaunje Hassani Selemani
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

5
MLALO
GOGOLA SHECHONGE GOGOLA (CUF)
RASHID ABDALLAH SHANGAZI (CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo.

6.
MAFIA
KIMBAU OMARY AYOUB (CUF)
DAU MBARAKA KITWANA (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

7.
MJI WA HANDENI
DAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA)
KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa Handeni.

8.
NJOMBE KUSINI
EMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA)
EDWARD FRANS MWALONGO (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

9
NJOMBE KUSINI
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEAMA)
WILLIAM EDWARD MYEGETA
(DP)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

10.
NJOMBE KUSINI
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEMA)
EMILIAN JOHN MSIGWA
(ACT -wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

11.
KINONDONI
KALUTA, AMIRI ABEDI
(CHAUMMA)
AZZAN IDD MOHAMED
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

12.
MICHEWENI
KHAMIS JUMA OMARI (CCM)
HAJI KHATIB KAI (CUF)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

13.
CHALINZE
SHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo)
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.

14.
CHALINZE
TORONGEY MANGUNDA  MATHOYO (CHADEMA0
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA
(CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.

15.
KASULU MJINI
MACHALI MOSES JOSEPH
(ACT – Wazalendo)
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

16.
MWANGA
KILEWO HENRY JOHN (CHADEMA)
PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

17.
Tarime Mjini
Esther Nicholas Matiko
(CHADEMA )
Deogratius Meck Mbagi
(ACT – Wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

18.
Ulanga
Celina Ompeshi Kombani (CCM)
Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

19.
Nzega Mjini
Mezza Leonard John (CUF)
Bashe, Mohammed Hussein (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
20
Nkenge
Bagachwa Salim Abubakar (CUF)
Kamala Diodorus Buberwa (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

21.
Ulanga
Celina Ompeshi Kombani (CCM)
Isaya Isaya Maputa (ACT – Wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
22.
Bukene
Elias Michael Machibya (CCM)
Simbi Alex Mpugi (CUF)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

23.
Ileje
Janeth Zebedayo Mbene (CCM)
Emmanuel Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

24
Ileje
Emmanuel Amanyisye Mbuba
(NCCR – Mageuzi)
Janeth Zebedayo Mbene (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

25
Kigoma Kusini
Bidyanguze Nashon William (ADA – TADEA)
Msimamizi wa Uchaguzi (RO)
Tume imekubali Rufaa ya mrufani kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52. Hivyo, Tume imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kigoma Kusini .

26
BUMBULI
DAVID JOHN CHAMYEGH
(CHADEMA)
JANUARY YUSUF MAKAMBA    ( CCM)
Tume imekubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Bumbuli aendelee na Kampeni.

27
DODOMA  MJINI
KIGAILA BENSON SINGO (CHADEMA)
MAVUNDE PETER ANTONY (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

28
LUDEWA
MSAMBICHAKO BARTHOLOMEO A. MKINGA ( CHADEMA)
FILIKUNJOMBE DEO HAULE (CCM)
Tume imekubali Rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na  imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Ludewa. Aendelee na Kampeni.

29
KINONDONI
MTULIA MAULID SAID ABDALLAH CUF
AZZAN IDD MOHAMED CCM
Tume imeikubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni aendelee na Kampeni.

30
MTAMA
SELEMANI SAIDI MTULUMA
UPDP
MCHINJITA RASHID ISIHAKA
CUF
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria.

31
UKONGA
JERRY WILLIAM SILAA (CCM)
WAITARA MWIKABE (CHADEMA)
Tume imeikataa  imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuwa Waitara Mwikwabe ni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni.

32
SENGEREMA
FRANCISCO K. SHEJUMABU
(UDP)
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.

33
SENGEREMA
TUMAINI MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi)
HAMIS MWAGAO TABASAM (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.

34
MOSHI MJINI
KIRETI KAMASHO ISSAC  (SAU)
JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa mrufaniwa siyo raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Japhary Raphael Michael ni mgombea halali.

35
MADABA
BUSARA LOSTOON KAISARI (ACT – Wazalendo)
Msimamizi wa Uchaguzi
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha BUSARA LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Madaba.

36
TANGA MJINI
NUNDU OMARI RASHID (CCM)
KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT – Wazalendo)
Tume imekubaliana na, uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na kampeni

37
TANGA MJINI
NUNDI OMARI RASHID (CCM)
MUSSA BAKARI MBAROUK (CUF)
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na kampeni.

Tarehe 02/09/2015
38
ARUMERU MASHARIKI
NASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA)
PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM)
Tume  imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni..

39
SHINYANGA MJINI
STEVEN JULIUS MASELE (CCM)
PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA)
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na kampeni.

40
MTAMBWE
KHAMIS SEIF ALLI (CCM)
ALI SALIM OMARI (AFP)
Rufaa hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.

41
MGOGONI
ISSA JUMA HAMAD(CCM)
SULEIMAN ALI YUSUF
Rufaa hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.

Jedwali 2 Tarehe 01/07/2015
Na.
Jimbo
Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
1.
CHIKUNJA/NDANDA
KASTOR JOSEPH MMUNI
(CHADEMA)
MPONDA FILEMON NOAMECK DISMAS (NLD)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
2
KIMAMBA ‘A’/KILOSA
SILAS RAMADHANI KASSO (CUF)
AIRU MUSTAPHA KAISI (ACT-WAZALENDO)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

3
NYAMISANGURA/TARIME MJINI
BASHIRI ABDALLAH SELEMANI (CHADEMA)
NCHANGWA SAMWELI MAGOIGA
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Nyamisungura

4
OLMOLOG/LONGIDO
MATHIAS ORKIREYE MOLLEL
(CCM)
DIYOO LOMAYANI SYOKINO LAIZA
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

5
MWISENGE/MUSOMA
LADISLAUS MANYAMA MAGESA
(CCM)
BWIRE NYAMERO BWIRE (CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

6
BOMANI/TARIME MJINI
MECCO KAZIMOTO KABILA
(CHADEMA)
MASUBO GODFREY MICHAEL
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI.

7.
ISYESYE/JIJI LA MBEYA
MDEMU MELAS PAUL (CCM)
IBRAHIM JOHN MWAMPWANI
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

8
MBARIKA/MISUNGWI
IZENGO TUMAINI PETER
(CHADEMA)
ZUBERI MANZA NGUKULA (ACT-WAZALENDO
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

9
KILAGANO/WILAYA YA SONGEA
BATHLOMEO SIXMUNDI MKWERA
(CHADEMA)
EMANUEL EMILIAN NGONYANI
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

10
ISAMILO/Jiji la Mwanza
TIBA DEUS TIBA
(TADEA)
YAHAYA IDDI NYALENGA
(ACT-WAZALENDO)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

11
BENDERA/SAME
MICHAEL RICHARD MCHARO
(CHADEMA)
CHRISTOPHER MAIKO MZIRAI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera.

12
MBWEWE
MAHAMBA BAKARI RAMADHANI
(CCM)
MOHAMEDI JUMA RAJABU
(CUF)
Tume imetengua  uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
13
MABIBO
JOSEPH WILLIAM KESSY
(CCM)
DASTAN ATHANASIO ERNEST
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Mabibo. Wagombea waendelee na kampeni.

14
WANGING’OMBE
HINGI ROSINA GABRIEL
(CHADEMA)
NYAGAWA GEOFREY KILUNDO
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

15
TALAWANDA/CHALINZE
SHABANI MAULIDI SEMINDU
(SAU)
ZIKATIMU SAIDI OMARI
(CCM)
Tume imetengua  uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda.

16
KIWANGWA/CHALINZE
OMARI RASHIDI DAVID
(CHADEMA)
MALOTA HUSEIN KWAGGA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na  imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

17
LUGOBA/CHALINZE
UCHECHE IDDI MRISHO
(CHADEMA)
MWENE ISSA REHEMA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

18
ISYEYE/MBEYA JIJI
MDEMU MELAS  PAUL (CCM)
SANKE ENOCK SESO (APPT-Maendeleo)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

19
ISYEYE/MBEYA JIJI
MDEMU MELAS  PAUL (CCM)
MWASEBA SARAH MWASAMBOMA (NCCR-Mageuzi)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi

20
ISYEYE/MBEYA JIJI
MDEMU MELAS  PAUL (CCM)
FABIAN ERNEST DEO (ACT-WAZALENDO)
Tume imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi.

21
KASHAI/BUKOBA MJINI
KABAJU NURULHUDA ADULKADIR (CHADEMA)
SAMORA A. LYAKURWA   (CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Kashai. Wagombea waendelee na kampeni.

22
MBWEWE/CHALINZE
MAHAMBA BAKARI RAMADHANI (CCM)
PAPA JUMA HAMISI  (CHADEMA)
Tume imetengua  uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe

23
KIWANGWA/CHALINZE
MALOTA HUSSEIN KWAGGA (CCM)
OMARI RASHID DAVID (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na  imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

24
MCHANGANI/TUNDURU KASKAZINI
MAWILA MOHAMED YASIN
CUF
HAIRU HEMED MUSSA
CCM
Tume imetengua  uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mchangani.

25
BUGORORA/MISENYI
SWALEH AHMADA MLISA
(CHADEMA)
PROJESTUS M. RUZIGIJA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

26
SIRARI/TARIME
SAGARA AMOS NYABIKWI (CCM)
NYANGOKO PAUL THOMAS
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

27
KIBASUKA/  TARIME
ISAYA NYANGOYE TARRIMO   (ACT-Wazlendo)
LOICE CHACHA MANYATA  (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi

28
Kibasuka/ Tarime
ISAYA NYANGOYE MATIKO      (ACT- Wazalendo)
KELEMANI NYAKIHA KEHEMGU (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

29
IYELA/ JIJI LA MBEYA
EMMANUEL ELIAH LYATINGA (CCM)
CHARLES CHANGANI MKELLA  (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

30
IGANJO
WASHAHA JAIVU MIHALI (CCM)
DAVID EDWARD MWANGONELA (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

31
ISYESYE
MDEMU MELAS PAUL
CCM
MWASEBA SARAHA MWASAMBOMA

Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

32
MIYUJI/ MANISPAA DODOMA
WALLACE DANIEL LUSSINGU
DAVID WILLIAM MGONGO
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
33
MNADANI
EUSTACE RWENYANGILA RUBANDWA
FARIDA ISSA MBARUKU
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

34
THEMI/ JIJI LA ARUSHA
LABORA PETRO NDARPOI
CCM
MELANCE EDMOND KINABO
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

35
LUFILYO/ BUSOKELO
MWAMAFUPA LUCAS GIDION
CCM
RICHARD AFRICA MWANGOMALE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

36
SOMANDA/ BARIADI
HERI MCHUNGA ZEBEDAYO
CHADEMA
ROBERT LWEYO MGATA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

37
ULEMO/ IRAMBA
ELIKANA MAKALA SHOMIA
SAMWELY F. SHILA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

38
KIEGEANI/ MAFIA
SELEMANI DARUSI ALLY
HASSAN MOHAMED SWALHU
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

39
ISYESYE/ JIJI LA MBEYA
MDEMU MELAS PAUL
SANKE ENOCK SESO
Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina msingi. Hivyo  Tume imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi

40
PERA/ CHALINZE
MAJIDI MUSSA ISALE
(CHADEMA)
LEKOPE
LAINI
LANG’WESI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua  uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera

41
MWAYA/ ULANGA
LILONGERI FADHILI FURAHA
(CCM)
MOHAMEDI KAPELEWELE RASHIDI
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

42
KIRUSHYA/ NGARA
SOSPETER SALAZIEL KAPFHUM
(CHADEMA)
SENTORE
MIBULO JACOB

Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

43
IYELA/ JIJI LA MBEYA
EMMANUEL ELIAH LYATINGA
KELVIN HENRY MYEMBA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

44
MBEZI MKURANGA
RAMADHANI MOHAMED MBWELA
CUF
RASHID MOHAMED SERUNGWI
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

45
SHUNGUBWENI/MKURANGA
KULWA SELEMANI MSUMI
CUF
KAMBWIRI OMARI SHAIBU
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

46
CHIFUTUKA/BAHI
NOLLO MWINJE MNZAJILA
CCM
RUBENI SALI LUHENDE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

47
KITUNTU/KARAGWE
MODEST KATARE KALOKOLA
CHADEMA
ZIDINA TAYEBWA MURUSHID
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

48
VIANZI/MKURANGA
NAZIRU JUMA CHUMU
CUF
NASSOR ALLY CHUMA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

49
IPALA/DODOMA MJINI
SHUKRANI AMOSI MHALINGA
NCCR-MAGEUZI
GEORGE STEPHEN NGAWA, VICTORIA, MATAGI MAGABE, AMANI CHIBWANA MADELEMU
CCM na ACT-WAZALENDO
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

50
LUKANDE/WILAYA YA ULANGA
MAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM)
MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

51
MONDO/CHEMBA
SAMBALA SAID OMAR (CCM)
ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

52
UPONERA/ULANGA
MWENTI MARIA MAGNUSI (CCM)
EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

53
BUSIS/SENGEREMA
BUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT –Wazalendo)
DICKSON YONA SAMWEL (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

01/09/2015

Na
JIMBO
Aliyekata Rufaa
Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
54
MINZIRO/ MISENYI
TWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM)
GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA)
Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea.  aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti.  Rufaa hina msingi Serkretatieti inapendekeza ikataliwe.  Wagombea waendelee na kampeni.
55.
MAWASILIANO/ULANGA
SALUM DOTTO MOHAMED (ACT-WAZALENDO)
INNOCENT VICTOR MWACHIPA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
56
MADUKANI
BAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM)
SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
57.
VIANZI
SEIF RAJABU LUMU (CHADEMA)
ANDASON FRANCIS MBANGUKA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
58.
MUNDEM/BAHI
FELIX THOMAS MBUNA (CHADEMA)
GORDEN M. ENYAGALO (CCM)
Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
59.
KILOSA MPEPO/ HALMASHAURI YA MALINYI
KIWANGA KILIAN BONAVE NTURA (CHADEMA)
HAMISA YUSUPH KYELULA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
60.
LUPILO/WILAYA YA ULANGA
MAHUNDU AYUBU HASSAN (CCM)
MADUNDA ABDALA MKALIMOTO (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
61
NYARUYEGE/ BUSANDA
CHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA)
MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
62
MKURANGA
MWARAMI SHAHA MKETO (CUF)
SAID MOHAMED KUBENEA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
63.
CHIROMBOLA
FUNDI YAHAYA CHUMA
MGUBA HILGAD ITATIRO
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
64.
MKONGOTEMA/ MADABA
OSWARD P. NJIKU
VITUS M. MFIKWA
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha mgombea  kugombea udiwani katika kata ya Mkongotema.
65.
CHIKUNJA/ NDANDA
KASTOR JOSEPH MMUNI –(CHADEMA)
OMARI MOHAMED MKOKO-(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
66.
NKINGA/MANONGA
SALI ALPHONCE LWAMBO (ACT-WAZALENDO)
ISACK GILBERT KIBONA- (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
67
KILINDI
MOHAMEDI S. LUGENDO- CUF
MOHAMED BAKARI MKOMWA-
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
68.

NYAMISANGURA/ TARIME MJINI
DIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –WAZARENDO)
SAMWEL  NCHANGWA MAGOIGA  (CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea  Didasi Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura.
69.

IGWACHANYA /WANG’INGOMBE
MHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA)
MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

70.

KEMAMBO
JOHN MASYAGA MANG”ERANYI
(CHADEMA)
BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani.
71

MAJENGO/MOSHI DC
MINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA)
SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
72

MOROGORO JUU
EMIRY ALPHONCE KIDEVU-(CCM)
YASSINI KONDO KUNGWA
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
73

KYERWA/ RUTUNGURU
RICHARD BURCHARD KABARA –(CHADEMA)
FRUGENCE MUZORA FREDERICK – (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
74
MWEMA/TARIME
PETRUES JOSEPH ITAARA (CHADEMA)
NTOGORO PETER KURATE (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75
KITAJI/MUSOMA MJINI
FRANK DIONIS WABARE (CCM)
HAILE SIZZA TARAI (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75
UBENA/CHALINZE
MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)
MHOKA AUGUSTINO EVARISTO (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
76
UBENA/CHALINZE
MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM)
MGAMA ASHRAF ATHUMANI (ACT-WAZALENDO)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
77
BUJULA/WILAYA YA GEITA
KANIJO AMINA SWEDI
KONGEJA YOHANA MULELE
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
78
MBERE/ILEJE
CHAGHI ANDREA KALINGA
OMARI AMBILIKILE KAMENDU
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
79
HUNYARI/BUNDA
SUMERA KIHARATA MZUMARI (CCM)
MAKIMA HAMAROSI JOSEPHAT (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
80
KEMAMBO/TARIME VIJIJINI
JOHN MASYAGA MENG’ENYA (CHADEMA)
BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

81
BOMANI/TARIME
MECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA)
MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM)
Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.
82
MADABA
OSWALD P. NJIKU (CHADEMA)
VISTUS M. MFIKWA (CCM)
Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.

Maoni 1 :

  1. MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI

    JibuFuta